UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini
waliyopewa na DAWASA watauza
Magari, Photocopy mashine, na Furniture za ofisi kama zilivyoorodheshwa hapo
chini kwa mnada wa hadhara tarehe 26,
September, 2015 Jumamosi saa 4.00
asubuhi. Mnada utafanyika DAWASA makao
makuu jirani na Hospitali ya
Mwananyamala .
MALI ZITAKOZOUZWA: Meza za ofisi, Viti, Book case, Cupboard, File
cabinets,
6 Photocopy m/c {Canon /Sharp} , Computer set, Printer, Scanner, A/c
split unit & Window type na grili za milango nakadhalika.
MAGARI YATAKAYOUZWA:
Idadi
|
Muundo
|
Aina YA Engine
|
Mwaka
|
Ushuru
|
1
|
Toyota Hilux
D/Cabin
|
5L Diesel engine
|
2009
|
Haujalipwa
|
1
|
Nissan Patrol S/Wagon
|
Z30 Diesel engine
|
2004
|
Haujalipwa
|
2
|
Mitsubish P/Up double cabin L200
|
4D56 Diesel
engine
|
2005
|
Haujalipwa
|
Mali zote zinaweza kukaguliwa DAWASA jirani na
Mwananyamala Hospital, tarehe 23 mpaka
25 November, 2015 kuanzia saa 4.00.
asubuhi mpaka saa 10.00 jioni.
MASHARTI YA MNADA:
- Mnunuzi atatakiwa kulipa malipo yote pale pale. Na mnunuzi wa gari
atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 7 ukishindwa
kulipa kwa muda huo mali itauzwa tena na dhamana haitarudishwa.
- Mali zote zitauzwa kama zilivyo.
- Mnunuzi atatakiwa kuondoa mali baada ya kulipia malipo yote
4 Ni wajibu wa Mnunuzi wa Magari kulipa Kodi
zote
Kwa maelezo
zaidi waone:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE
SIMU NA: 0754-284
926, 0757 284 926
Email :
universalauction@hotamail.com
DAR ES SALAAM.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...