Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgombea ubunge jimbo la Mafia bwana Mbaraka Kitwana Dau kabla ya kumnadi kisiwani Mafia
Mama Samia Suluhu Hassan aki saini kitabu cha wageni, kisiwani Mafia. Kulia kwake ni bwana Mbaraka Kitwana Dau, ambaye anagombania ubunge jimbo la Mafia. Kushoto kwake ni mwenyekiti wa CCM Mafia bi Arafa. Mwisho kushoto ni Mhe Abdulkarim Shah, mbunge wa Mafia anaemaliza muda wake. Mwisho kulia ni DC wa Mafia
Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na mgombea ubunge Mafia bwana Mbaraka Kitwana Dau, pamoja na mbunge wa Mafia Mhe. Abdulkarim Shah ambaye anamaliza muda wake
Mgombea Ubunge wa Mafia Bw. Mbaraka Kitwana Dau akiwa katika kijiji cha Kanga wilayani Mafia akinadi kwa umakini mkubwa Ilani ya CCM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...