Mfanyabiashara na mmliki wa makampuni ya excel Management, Mikono Speakers na Focus
Outdoor Deogratius Kilawe Jumamosi 12th Sept amefunga pingu za maisha (ndoa )katika
kanisa la st.Peter na kisha kufanya mapokezi serena Hotel. Deogratius Kilawe amefunga Pingu za maisha na Anabahati Mlay.
Home
Unlabelled
MFANYABIASHARA MASHUHURI DEOGRATIUS KILAWE NA ANABAHATI MLAY WAMEREMETA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...