Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donani Mmbando  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya  Mfumo uhifadhi na kutoa taarifa za zituo vya Afya kituo tangu kinapojengwa, atakikifunguliwa na hata kinapofungwa, leo Jjijini Dar es salaam.
 Wanahabari wa kimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Donani Mmbando leo jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...