Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akimkaribisha na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe Victoria Mwakasege, ofisini kwake jijini Dar es salaam. Balozi huyo ambaye ameteuliwa hivi karibuni, anaenda kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Patrick Tsere aliyemaliza muda wake kwa mujibu wa sheria.
Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege kabla ya mazunguzo yao ofisini kwake jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege ofisini kwake jijini Dar es salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...