Maadhimisho ya Miaka 10 ya uanzishwaji wa MICHUZI BLOG hapa nchini, chini ya Mmiliki wake Ankal iliyofanyika ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.

Keki ya maadhimisho ya miaka 1o ya MICHUZI BLOG ikiwa na keki ndogo zenye majina ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.
Mr na Mrs Ankal na watoto wao wakikata keki ya maadhimisho ya miaka 10 ya MICHUZI BLOG, wakishuhudiwa na baadhi ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.
Mkurugezi Mtendaji wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal akilishwa keki na mkewe katika hafra fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA
GROUP wakiwa katika picha ya pamoja.
GROUP wakiwa katika picha ya pamoja.
Hongera sana, Ankal Michuzi, kwa kuadhimisha kutimia kwa miaka kumi ya Michuzi Blog. Ninapozunguka Tanzania, au popote duniani, naona jinsi Michuzi Blog ilivyo sehemu ya utambulisho wa m-Mtanzania. Michuzi Blog inatuunganisha. Inachangia umoja wa Taifa.
ReplyDeleteAnkal, binafsi nakushukuru sana kwa mchango wako katika juhudi zangu za kuendesha blogu. Nakutakia kila la heri, uendeleze libeneke.
hongera sana sikujua kama wewe ankal zefulans umeazima toka chadema. kula ccm kura chadema
ReplyDeleteHongereni sana Ankali Michuzi na timu nzima ya Michuzi Media Group (MMG) kwa kutimiza miaka 10 sio nngwe ndogo katika kuendesha chombo Blog ya Jamii ambacho kinachangia kwa kiasi kikubwa katika kupasha habari na matukio katika jamii hiliyo afrika mashariki na nje.
ReplyDeleteTunawaombea Mungu chombo hiki muhimu MichuziBlog aka Blog ya Jamii kidummu milele.
Wadau
Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni
Michuzi na wafanya kazi ndugu na jamaa
ReplyDeleteHongera tena sana
Mabrook na Mungu awazidishieni kila
ibrahim
Ankal, Blog lilikuwa wazo poa sana, maana kupitia blog yako tumejua na tunaendelea kujua mengi huko nyumbani. You have done an exceptionally superior work of informing your follow Tanzanian on events taking place in our beloved country.
ReplyDeleteBasi kazi hii njema na kabambe tunasihi iendelezwe tena kwa ustadi na ubunifu makini kabisa.
Congratulations!
Imependeza! Hongera sana mkuu.....hongera sana timu nzima....
ReplyDelete