Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya mkutano Bungi akiwapungia mkono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kampeni katika viwanja vya mpira Bungi akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai .
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein. uliofanyika katika viwanja vya bungi.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na Wana CCM katika mkutano wake wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya Mpira Bungu Wilaya ya Kati Unguja na kuomba Kura kuendelea kuiongoza Zanzibar kwa Maendeleo katika sekta mbalimbali za Kijamii na kuendeleza kukuza Uchumi wa Zanzibar.
Wanachama wa CCM wakimshangilia Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein wakati akiwahutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vha mpira Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimshangilia mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein katika mkutano uliofanyika katika viwanja vya bungi.
Kijana akitowa ishara kwa Wananchi wenye ulemavu wa kutokusikia kwa alama ya Ishara wakati mgombea wa CCM Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia katika mkutano wake wa Kampeni katika viwanja vya mpira Bungi Wilaya ya Kati Unguja. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...