Mgombea
Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya mkutano
vya Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba kwa ajili ya kampeni yake kwa
wananchi wa Jimbo hilo la Mkoani.
Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali
Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Siasa jukwaa kuu baada ya kuwasili
katikac viwanja hivyo kwa ajili ya mkutano wake wa Kampeni katika
viwanja vya mpira Black Wizard Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba.
Wanachama
wa CCM wakimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,
alipowasili katika viwanja vya Mkutano wake wa Kampeni Jimbo la Mkoani
Pemba.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot. zanzinews.com
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot. zanzinews.com
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...