Mwakilishi mkazi wa umoja wa mataifa na UNDP, Alvaro Rodriguez akichangia maada katika mkutano wa kujadili amani uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kipindi cha kwanza katika mkutano wa kujadili amani kuelekea uchuguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 Mwaka huu katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...