Picha ya hivi karibuni ya mtoto Loveness C. Jullu
Familia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu aliyepotea nyumbani na msichana aliyekuwa akimlea na kusaidia shughuli za nyumbani.
Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.
Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia kupatikana kwao tafadhali zitoa kupitia namba hizi:0715797920 na 0786977615.

Asante.

Binti msaidizi wa kazi za nyumbani (house-girl)
Picha ya awali ya mtoto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. poleni sana wapendwa, naomba muingie kwenye maombi, tumieni watumishi wa Mungu, ili Mungu aingilie kati huko aliko ili aweze kumrejesha mtoto. mimi kama mzazi imeniuma sana sana Mungu wetu ni mwema sana nimeomba ampe msukosuko huyo binti akose amani huko aliko ili amrejeshe mtoto. pigeni simu kwa watumishi wa Mungu kama hamtajali mpigieni mtumishi huyu asaidie kuomba 0714 890125 anaitwa mwinjilisti Luka. Mumgu atatenda muujiza.

    ReplyDelete
  2. Tupo pamoja wanafamiliya

    ReplyDelete
  3. pole sana kaka Mungu atakusaidia atapatikana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...