Msaada wako kaka Issa Michuzi nisaidie kuitoa kwenye blog yako hiyo picha ni ndugu yetu tunamtafuta Alikuwa south Africa tangu 1998 ila kwa sasa hatuji alipo.
Ni zaidi ya miaka 15 hatuna mawasiliano nae ,watu wa south Africa wanasema hayupo south Africa ila hawajui alipo. Jina lake anaitwa PAULO DASTAN NYANGUSI.
Mwenye taarifa zake tafadhali sana awasiliane na email hii ernestkinyashi@gmail.com
Ahsante
Ernest
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...