Kikosi
Kazi Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni chenye maskani nchini
ujerumani juzi siku ya Jumamosi ya 5 September 2015 kilifanikiwa
kufunika katika onyesho
Vechelde Festival nchini Ujerumani. Bendi hiyo maarufu barani ulaya kwa
kuwadatisha washabiki wa muziki wa kiafrika kule ughaibuni imejijenga
umaarufu katika kila kona na kuwekwa kileleni katika nafasi ya juu na
washabiki wake wa
kimataifa. Inaongozwa na kamanda Ras Makunja na kuwa na utajiri wa wanamuziki vijana wenye wingi wa vipaji .
wasikilize at www.reverbnation.com/ ngomaafricaband
jiunge nao pia at https://www.facebook.com/ NgomaAfricaBand
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...