Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akikagua vitabu katika maktaba ya Chuo cha Unadhimu na Ukamanda alichokizindua
leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Chuo cha Ukamanda na unadhimu Dukuti nje kidogo ya mji wa Arusha.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Chuo cha Ukamanda na unadhimu Dukuti nje kidogo ya mji wa Arusha.
Muonekano wa baadhi ya majengo ya Chuo cha Unadhimu na
ukamanda.
(picha na Freddy Maro).
Kwa muonekano huu, Chuo kimejengwa vizuri.
ReplyDelete