Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kutunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wa Jeshi katika Chuo cha Jeshi Monduli leo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride muda mfupi kabla ya kutunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wa Jeshi katika Chuo cha Jeshi Monduli leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi Afisa mwanafunzi bora Luteni Usu Antony Shija wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya leo katika chu cha jeshi TMA Monduli leo.
Amiri Jeshi Mkuu Rasi Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa akimpa zawadi afisa mwanafunzi bora wa kike Luteni Usu Martina James Shija wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya wa jeshi katika chuo hca jeshi Monduli leo.
Amiri Jeshi Mkuu Rasi Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitunuku kamisheni kwa maafisa wapya wa jeshi katika chuo hca jeshi Monduli leo.
Maafisa wapya wa Jeshi wakila kiapo mbele ya Amiri jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akimkabidhi Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete zawadi ya chuoni hapo, na kitara pamoja na nembo maalum ya jeshi kwa kutambua mchango wake katika kuliboresha na kulifanya la kisasa Jeshi la Wananachi wa Tanzania wakati wa Sherehe za kutunuku l\kamisheni kwa maafisa wapya wa jeshi katika chuo cha jeshi Monduli leo.
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akimkabidhi Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete zawadi ya kitara pamoja na nembo maalum ya jeshi kwa kutambua mchango wake katika kuliboresha na kulifanya la kisasa Jeshi la Wananachi wa Tanzania wakati wa Sherehe za kutunuku l\kamisheni kwa maafisa wapya wa jeshi katika chuo cha jeshi Monduli leo.
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akimkabidhi Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete zawadi ya picha ya kuchorwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiiangalia picha ya kuchora ya Mkewe Mama Salma Kikwete aliyoipokea kwa niaba yake. Picha zote na Freddy Maro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...