Familia ya Bwana na Bibi Charles Yanga ya Tabata Chang'ombe, Dar es salaam, inakukaribisha kwenye Misa ya shukrani kwa ajili ya marehemu mtoto wao mpendwa Abel Charles Yanga. Misa itakuwa Jumamosi tarehe 12 Sep. 2015 saa 5.00 asubuhi nyumbani Tabata Chang'ombe. Baada ya Misa tutashirikiana chakula cha mchana. Karibuni sana.
Kwa mawasiliano zaidi Kiduma Yanga 0653 013 211
Rest in peace kaka Abel
ReplyDeleteYou slipped out of this life like water through the fingers. We thank God for what you left with us, you will be forever missed kaka Abel. - Imma
ReplyDelete