Je UKAWA wametoka na yapi kuhusu utafiti wa Twaweza? Na Je kulikoni matokeo utafiti mpya wa SYNOVATE? Tazama uchambuzi wa kina.https://youtu.be/D3r0HSv1jB4
Magufuli apaa tena utafiti wa SYNOVATE, pata habari hii na nyingine kibao kupitia udodondozi wa magazeti ya leo September 25. https://youtu.be/revJJ5vPRvs
Magufuli aendelea kumtimulia vumbi Lowassa katika tafiti nyingine, fahamu hilo na mengine lukuki kupitia uchambuzi wa magazeti tarehe 25.https://youtu.be/TfclKnQ6qAs
Je wafahamu matokeo mapya ya utafiti kuhusu nani kuongoza uraisi ?SYNOVATE yatoka na mapya.Tazama yaliyojiri. https://youtu.be/1c4GsQJ9jM0
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...