Naibu Kamishina wa Polisi (DCI) Makao Mkuu ya Upelelezi na Jinai, Hezron Gyimbi akuzungumza na wanahabari hawapo pichani juu ya Operesheni GIBOIA II iliyofanyika sanjari katika nchi nane zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara ambazo ni Afrika Kusini, Zimbabwe, Malawi na Msumbiji. Operesheni GIBOIA II ameyasema hayo katika mkutano ulifanyika jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Hiiti Sillo.
Mkaguzi wa Dawa Mwandamizi, Sonia Mkumbwa akiwaonesha Bidhaa bandia katika mkutano jijini Dar es Salaam.
Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...