TANZIA
FAMILIA
YA MAREHEMU ABDALLAH SELEMANI REHANI WA TABATA DAR ES SALAAM INASIKITIKA
KUTANGAZA KIFO CHA MAMA YAO MZAZI HAJJAT
PILI MLOLWA REHANI KILICHOTOKEA LEO ALFAJIRI KWENYE HOSPITALI YA MUHIMBILI.
MAZISHI
YATAFANYIKA LEO SAA 10 JIONI KWENYE MAKABURI YA SEGEREA, DAR ES SALAAM.
HABARI
ZIWAFIKIE:
1. FAMILIA
YA MZEE MLOLWA WA MTAA WA KAMNA, TABORA
2. UKOO
WOTE WA MLOLWA NA FUNDIKIRA WA TABORA
3. SHEMEJI
WA MAREHEMU RAJABU MBUGA WA RUKWA
4. FAMILIA
YA MHE. MIZENGO PINDA YA MPANDA NA MLELE KATAVI
5. MDOGO
WA MAREHEMU, MWL. HAMISI MLOLWA WA NDONO, TABORA
6. FAMILIA
YA MAREHEMU MOHAMED KAFYOME WA NG’AMBO, TABORA.
7. FAMILIA
YA MAREHEMU ABOUD JUMBE YA IGOMA, MWANZA
8. NDUGU,
JAMAA NA MARAFIKI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...