Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa kaliua alipokuwa akiwahutubia wakazi hao katika uwanja wa Kolimba,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Wakazi wa mji wa Kaliua wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM,Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia.
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akimkabidhi Ilani ya CCM Mgombea Ubunge wa jimbo la Kaliua kupitia chama cha CCM Prof.Juma Kapuya
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akisalimiana na Mgombea Ubunge wa jimbo la Urambo kupitia chama cha CCM,Mh.Magret Sitta,kulia kwake ni Mh.Samweli Sitta kwa pamoja wakimkaribisha Dkt Magufuli alipowasili kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Urambo jioni ya leo.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa Urambo jioni ya leo mkoani Tabora,kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa Urambo jioni ya leo mkoani Tabora,kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni.
Wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,mjini Urambo mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
sehemu ya wananchi wakifuatilia mkutano huo wa hadhara
Wananchi wakiwa wamekusanyika mjini Urambo kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM,Dkt Magufuli.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Sikonge mapema leo mchana mjini humo,kwenye mkutano wa kampeni mkoani Tabora,kulia ni aliyekuwa Mbunge wa Sikonge ambaye alijiunga na chama cha CHADEMA mara baada ya kuondolewa kwenye kura za maoni ya chama cha CCM na baadae kurejea CCM,Ndugu Said Nkumba abaye amerejesha kadi yake kwa Dkt Magufuli,shoto ni Mgombea Ubunge wa jimbo la Sikonge Ndugu George Joseph Kadutu.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia aliyekuwa Mbunge wa Sikonge ambaye alijiunga na chama cha CHADEMA mara baada ya kuondolewa kwenye kura za maoni ya chama cha CCM na baadae kurejea tena CCM,Ndugu Said Nkumba akipeana mikono na Mgombea Ubunge wa jimbo la Sikonge Ndugu George Joseph Kadutu,mbele ya Wananchi wa Sikonge kwenye mkutano wa kampeni mkoani Tabora
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia aliyekuwa Mbunge wa Sikonge ambaye alijiunga na chama cha CHADEMA mara baada ya kuondolewa kwenye kura za maoni ya chama cha CCM,Ndugu Said Nkumba akipeana mikono na Mgombea Ubunge wa jimbo la Sikonge Ndugu George Joseph Kadutu,mbele ya Wananchi wa Sikonge kwenye mkutano wa kampeni mkoani Tabora.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...