Mr and Mrs Nyango'oro wanasikitisha kutangaza msiba wa baba mzazi wa Julie Nyang'oro uliotokea 09/17/2015 huko nyumbani Moshi. 

Mipango ya mazishi inafanyiwa na mfiwa anatarajiwa kusafiri kwenda hudhuria mazishi.

Kwa taarifa Zaidi tafadhali wasiliana na Julie Nyang'oro 614 595 4896 na Metty Nyang'oro 614 226 4216.

Wana mfuko na wasio wana mfuko tunaombwa kwenda nyumbani kwa wafiwa katika kipindi hiki kigumu cha msiba.

BWANA AMETOA BWANA AMETWAA. 
AMINA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...