Mkurugenzi Mtendaji 8020 Fashion na Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao.
Washiriki wa Mafunzo hayo wakisikiliza kwa Makini Mada Mbalimbali zilizokuwa Zikijadiliwa.
Mafunzo ya Ujasiriamali kwa Mwanamke wa Kitanzania kwa Kutumia Vipodozi vya LuvTouch Manjano yanaendelea.Mradi huo ulianzishwa kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye Ujasiriamali yakisimamiwa na Taasisi ya Manjano Foundation.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...