Kampuni ya TICTS yakabidhi mchango wa Tshs 3,000,000/= kufanikisha shughuli za wiki ya Nenda kwa usalama barabarini kwa Mkoa wa Kipolisi Temeke Kanda maalum ya Dar-es-salaam.Pichani Mkurugenzi wa Shughuli za maendele0 (TICTS) Bw Donald Talawa akikabidhi hundi kwa Kamanda wa Trafiki Mkoa wa Temeke SP R.T Shemndolwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani.
Viongozi wa Kampuni ya TICTS.Bi Carol Owenya,Bw Donald Talawa na Bw John Masasi wakimsikiliza Kamanda wa Trafiki Mkoa wa Kipolisi Temeke Kamanda R,T Shemdolwa akielezea mikakati ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke katika usimamizi wa Shughuli za usalama Barabarani Wakati wa wiki hiyo.
Mkurugenzi wa Shughuli za maendele0 (TICTS) Bw Donald Talawa akiongea baada ya kukabidhi hundi kwa Kamanda wa Trafiki Mkoa wa Temeke SP R.T Shemndolwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...