Vijana wanao saidia kuokota mipira katika uwanja wa taifa wakati wa mechi mbalimbali za Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara zikichezwa, wakiwa wamebeba mabango  yenye ujumbe maalum unaohusu  kuhamasisha  Usalama barabarani  na kutoa elimu kwa wapenzi wa mpira wa miguu na wachezaji,wakati wa mpambano wa ligi hiyo juzi iliyowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga katika uwanja wa Taifa ambapo  Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0.
 Mshambuliaji wa timu ya Simba,Hassan Mgosi akijaribu kumtoka kiungo wa timu ya Yanga Harouna  Niyonzima wakati wa mechi  ya Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara iliyochezwa kati ya timu hizo mwishoni mwa wiki katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam,Ambapo  Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ANKAL TUNAOMBA UTUWEKEE U-TUBE YA HUU MCHEZO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...