1. Viko Mbweni usalama
wa taifa, vina hati miliki, viko karibu na
barabara ya lami na viko
karibu na beach,
vipo Sqm 600 – 1500, bei ni
kuanzia milioni 35 mpaka 45.
2. Nyumba 3 zinauzwa, zipo
Mwananyamala “A”, moja vyumba 12, nyingine vyumba 6 na
nyingine vyumba 4. Zote zina leseni
ya makazi, gari mpaka mlangoni, umeme upo. Kila
moja bei milioni 65.
3. Nyumba yenye geti la
gari, vyumba 4, kimoja master, umeme, sebule, dining, jiko, stoo,
na hati miliki inauzwa. Ipo Mbagala Kuu, bei
milioni 65.
4. Pia nyumba
za milioni 65 – 70 zipo
Mbweni na boko.
Mawasiliano 0784482959.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...