Mwakilishi wa Mkurugenzi
Mkuu wa (NHIF),Mkurungenzi wa Masoko na Utafiti Athumani Rehani akizungumza
na waandishi wahabari hawapo pichani juu ya wanamichezo kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili
kujipatia huduma za matibabu pamoja na
dawa kwa vitio vya Afya maluumu na Maduka
ya dawa Malum ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurunge wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) Eugen Mikongoti akifafanua jambo kwa wanahabar.
Wanahabari wakimsikiliza kwa makini Mkurugezi wa Mfuko wa bima ya Afya ya Jamii (CHF) Eugen Mikongoti, leo Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.)
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...