Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akizungumza na
waandishi wa habari juu ya Watanzania wanaoipenda Tanzania wakisha maliza
kutimiza wajibu wake wawapishe waendelee kutimiza haki zao za msingi
za kupiga kura, ameyasema katika Hoteli ya Serena leo Jijini Dar es Salaam.
Makamu Mkurugenzi wa (NEC) Jaji Mustafu Hamad M. Hamid akizungumza na ziongozi mbalimbali wadini pamoja na viongozi wa Siasa juu ya zoezi la uchaguzi kuwa la amani na utulivu leo Jijini Dar es Salaam kushoto ni Mwenyekiti wa Mdahalo Dk Ayub Rioba.
(Picha na Emmanuel Massaka)
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...