Afisa Vijana Kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni, na Michezo Bw. Godfrey
Massawe akizungumza na vijana (hawapo pichani) wakati wa Mafunzo ya Wawezeshaji
wa Kitaifa wa Stadi za Maisha kwa vijana
wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa leo Jijini Mwanza. Mafunzo haya yamehusisha vijana
kutoka Mkoa wa Simiyu, Mara, Kagera, Shinyanga na Mwanza.
Wawezeshaji wa Kitaifa wa masuala ya Stadi za Maisha kutoka Mikoa ya Kanda ya
Ziwa wakisikiliza kwa makini mada iliyokua ikiendelea wakati wa Mafunzo ya Wawezeshaji
wa Kitaifa leo Jijini Mwanza. Kulia ni Mtaalamu wa masuala ya Vijana Bw. Robert
Semkiwa.
Wawezeshaji wa Kitaifa wa masuala ya Stadi za Maisha kutoka Mikoa ya Kanda ya
Ziwa wakijadiliana wakati wa mafunzo kwa vijana hao leo Jijini Mwanza.
Picha
na
Genofeva Matemu – Maelezo, Mwanza
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...