Ofisa
Mtendaji Kata ya Temeke, Elias Wawa akizungumza katika uzinduzi wa
awamu ya pili kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni
uliofanyika soko la Temeke Sterio Dar es Salaam jana. Uzinduzi huo upo
chini ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi 'Acha Lugha Chafu na
Udhalilishaji Sokoni' Unaendeshwa na Shirika Equality for Growth (EfG).
Mwenyekiti wa Soko la Temeke Sterio, Hamad Juma Mtemi, akizungumza katika mkutano huo.
Ukatili wa kijinsia uondoshwe kabisa katika nchi yetu, hauna nafasi kwa watu wenye uelewa, bali wale waliodumaa kifikra.
ReplyDelete