Ofisa Mtendaji Kata ya Temeke, Elias Wawa akizungumza katika uzinduzi wa awamu ya pili kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni uliofanyika soko la Temeke Sterio Dar es Salaam jana. Uzinduzi huo  upo chini ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi 'Acha Lugha Chafu na Udhalilishaji Sokoni' Unaendeshwa na Shirika Equality for Growth (EfG). 
 Mwenyekiti wa Soko la Temeke Sterio, Hamad Juma Mtemi, akizungumza katika mkutano huo.
 Wananchi wakiwa kwenye Uzinduzi huo.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ukatili wa kijinsia uondoshwe kabisa katika nchi yetu, hauna nafasi kwa watu wenye uelewa, bali wale waliodumaa kifikra.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...