Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akifungua Mkutano wa kutathmini
huduma za Wazee Zanzibar ulioandaliwa na Wizara yake kwa ufadhili wa Shirika la
HelpAge International katika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini Zanzibar.
Picha ya pamoja ya wajumbe wa Mkutano huo uliohudhuriwa na Wakuu
wa Wilaya za Zanzibar, Madaktari dhamana wa Hospitali kuu za Wilaya,
Jumuia ya Wazee na Taasisi za kiraia baadhi ya maofisa wa Wizara ya Afya.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...