Mwakilishi
wa washirika la kuhudumia watoto Zanzibar (Save the children) Mali Lisson akitoa maelezo kabla ya
kukabidhi pikipiki za wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono katika hafla
iliyofanyika wizara ya afya mnazimmoja mjini zaznibar.
Mwakilishi wa Shirika la kuhudumia watoto Zanzibar (Save the children) Mali lisson akimkabidhi funguo za pikipiki
tano, Naibu waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo
kwa ajili ya wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono wa wilaya katika
hafla iliyofanyika wizara ya Afya mnazimmoja mjini Zanzibar.
Naibu
waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitia saini baada ya kupokea
pikipiki tano kwa ajili ya kuwarahisishia kazi wakuu wa vitengo vya
huduma ya mkono kwa mkono wa wilaya.
picha zote na Miza Othman –maelezo zanzibar.
Pikipiki
walizo kabidhiwa wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono kwa ajili ya
kuwasaidia shughuli za kufuatilia vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia kwa
watoto.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...