AZAM TV: Mhe.Lowasa awaomba wananchi wa Mleba kumpigia kura ili aweze kutekeleza adhma yake ya kuwatumikia wananchi; https://youtu.be/VkTOsMHTP-I
CH 10: Mgombea mwenza CCM Samia Suluhu atinga kisiwani Mafia na kuwaelezea wakazi wa kisiwa hicho ilani ya chama hicho; https://youtu.be/8FAmnOwHPiU
tbc: Raia 40 wa Ethiopia wanashikiliwa na jeshi la polisi Mkoani Lindi kwa kuingia nchini bila kuwa na kibali; https://youtu.be/KJ0X9vKqiao
star tv: Vyombo vya habari nchini vimetupiwa lawama kwa kushindwa kuarifu umma juu ya hatari ya kuzipoteza rasilimali za asili; https://youtu.be/1uiT18BT8qg
MLIMANI TV: NCCR Mageuzi kimeibuka na kudai kuwa kimebaini kuwa kuna watu wameibuka wakiwa na nia ya kuwadhuru viongozi wao;https://youtu.be/m50IiIcEQoM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...