Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ili iweje??? waacheni.....tunaposema tunataka mabadiriko ili kila kitu kiende kwa utaratibu na sheria nyie ndio mnakua wa kwanza kupinga alafu mnatuletea eti madereva wetu!!!

    ReplyDelete
  2. hivi inawezekana ni kweli hii??? yaani hawa madereva wana akili timamu au??? hapana hivi ni vitu ambavyo haviwezi kuvumilika jamani. hatua zichuliwe.

    ReplyDelete
  3. Hata hivyo mbali ya uzembe wa madereva, na hizi bara bara zetu ni nyembamba mno hata hiyo 'single lane' sidhani kama ni salama ku-overtake licha ya hizo double lane kati ya oncoming & ongoing traffic, inabidi kuhakikisha kupo clear tokea umbali fulani na ndipo kufanya maamuzi, sidhani hata kama kuna kuheshimu hizo alama au hiyo mistari iliyochorwa hapo 'double line', au pengine tunadhani ni kutenganisha baina ya bara bara mbili tu na si kwa dhumuni jinginelo, la khasha! Nadhani ipo haja ya kuendelea kutoa mafunzo ya usalama bararabani kwa kuzingatia alama, sheria na taratibu zote ili kuweza kudhibiti suala zima la kutokomeza ajali za barabarani na kuwa na madereva wa kutumainiwa sio almuradi matairi yanazunguka tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...