Wakimbizi
kutoka nchini Burundi walioko katika
kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi
baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia
chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu
wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.
Byesige
Josephat (anayemimina mafuta) na Hezron Mtangirwa(kushoto), wakimbizi kutoka
Burundi waliohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu wakipima mafuta
ili waweze kuyagawa kwa wakimbizi wenzao jana ,baada ya kugawiwa mafuta na
Shirika la Umoja wa Mataifa, linaloshughulikia chakula (WFP), ambalo lina kituo
chake katika kambi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu mkoani Kigoma.
(PICHA NA
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI – WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...