Mkurugenzi msaidizi wa benki ya CRDB huduma kwa wateja, Saugata Bandyopadhyay akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika katika benki ya CRDB tawi la Water Front leo jijini Dar es Salaam, wakati wa kuadhimisha wiki ya utumisha wa huduma kwa mteja ambayo hufanyika kila Oktoba 5 kila mwaka katika banki hiyo.
Keki ya kuwashukuru wateja wanaotembelea katika tawi la Water Front.
Mkurugenzi msaidizi wa benki ya CRDB huduma kwa wateja, Saugata Bandyopadhyay akiwakabidhi wateja wa benki hiyo zawadi katika kuadhimisha wiki huduma kwa wateja iliyofanyika katika tawi la Water Front jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front wakiwa katika picha ya pamoja.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...