Kushoto ni Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Bright Angel High School, Ajay Mohamed akiwa na mwanafunzi mwenzake katika shule hiyo.
Kutoka kulia ni Mkuu wa shule ya Bright Angel High School, Angribeth Nkwera katikati ni Mgeni rasmi katika mahafali ya saba katika shule ya Bright Angel High School, Innocent Banzi na Bi.Yasinta Mwinuka wakiwa angalia wanafunzi wa shule hiyo wakati wakitumbuiza katika mahafali hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Pwani.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...