Mshindi wa habari za uchunguzi kwa mwaka 2013, Msindi Fengu(wa pili kutoka kulia), akitoa mada wakati wa mjadala uliohusu miaka 20 ya uandishi wa habari barani afrika,mjadala huo unafanyika nchini Kenya.
 Washriki wa mashindano ya uandishi wa habari yanayoandaliwa na CNN wakiwasili katika Viwanja vya bustani ya Zen,jijini Nairobi kwa ajili ya kuhudhuria mjadala ambao mambo kadhaa yanayohusu tasnia hiyo yatajadiliwa.
 Mhiriki kutoka Tanzania, Abubakari Akida, akifuatilia mjadala huyo.
Mwandishi wa Habari wa CNN, David McKenzie, akiwakaribisha washiriki katika mjadala huyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...