Mwanamziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja mkuu kikosi cha Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni,amehojiwa na Radio Zenj Fm siku ya 8 Oktoba 2015
kuhusu mtazamo wa Watanzania walio nje ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu.
msikilize katika audio
Home
Unlabelled
Kamanda Ras Makunja Akihojiwa na Radio Zenj FM kuhusu uchaguzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...