Watanzania wote wa USA na DMV Tunapenda kuwajulisha maandalizi ya Second Medical Mission kwenda Tanzania yanaanza hivi Karibuni. Tunaomba mjitokeze kwa wingi ili kufanya medical mission ijayo kuwa kubwa na yenye kutoa huduma zaidi nyumbani. NYUMBANI KWANZA.
Kama mlivyojionea wenyewe kwenye hii documentary mahitaji ni Mengi na sisi Diaspora tunaweza changia muda na mali kidogo kwenye kulisukuma gurudumu la maendeleo mbele.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...