Baadhi ya wakazi wakiwa katika Banda la Mkoa wa Tanga wakati wa maadhimisho ya 16 ya Wiki ya Vijana ambayo Kitaifa inafanyikia mkoani Dodoma. Maadhimisho ya Wiki ya Vijana uratibiwa na kusimamiwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo chini ya Idara ya Maendeleo ya Vijana ambapo maadhimisho ya mwaka huu ni ya 16 tokea kuasisiwa kwake.
Watoto wa Halaiki wakiwa katika maandalizi ya lala salama tayari kwa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru kama walivyokutwa na mpiga picha wetu  leo katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Kilele cha mbio za Mwenge waUhuru kitaifa zitafanyika tarehe 14 Oktoba mkoani hapo.

Picha na: Frank Shija, WHVUM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...