Mtoto Jayden (mtoto wa Halima Ally) akifanya push-up kama anavyofanya mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Jayden ni mkaazi wa Maryland nchini Marekani.
Jayden akifuata nyayo za mama yake Halima Ally ambaye ni muumini wa CCM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Push-ups hazifanywi bali zinapigwa, anapiga push ups, au pia unaweza kusema zina twangwa, hebu twanga push ups kumi sasa hivi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...