STAR TV NEWS
Uongozi wa chama cha DP waitaka serikali kuchunguza kwa makini kifo cha mweneyekiti wa chama hicho, kufuatia sintofahamu iliyotanda. https://youtu.be/gDuTtHQHOLo
Tanzania yatajwa kupoteza kiongozi shujaa na mpenda haki kwa misingi ya sheria bila uvunjifu wowote kwa amani, Mchungaji Christopher Mtikila. https://youtu.be/ewjw2zURbWA
Mamlaka ya manunuzi ya umma PPRA yazifungia kampuni saba pamoja na wakurugenzi wake kushiriki zabuni za umma kufuatia ukiukwaji sheria ya manunuzi. https://youtu.be/5ftV1WUH0xM
Serikali yatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuwa ukiukwaji wa haki za binadamu na kuminya uhuru wa habari na vyombo vya habari. https://youtu.be/28YJNS_VOKk
Mgombea wa CCM Dr.Magufuli aonya kuwa kuendelea kwa vitendo vya vurugu mkoani Arusha huenda vikaharibu heshima na sifa za mkoa huo. https://youtu.be/v_GZ_xl1x4c
Chama cha ACT wazalendo kimesema kinakusudia kufanya mageuzi makubwa katika sekta ya utalii nchini ili kuongeza fursa pamoja na mapato yatokanayo na sekta hiyo. https://youtu.be/YAZ2c8_X7QU
Azam tv news
Mgombea uraisi wa CCM Dr.Magufuli aahidi kufuata nyayo za hayati Moringe Sokoine kwa kufanya kazi kama yeye kwani aliuchukia Ufisadi. https://youtu.be/vWb6bzJEO0w
Wananchi waaswa kuendelea kuwa na imani na chama cha mapinduzi kwa kupigia kura madiwani,wabunge na raisi kutoka chama hicho ili wamalize miradi ya maendeleo. https://youtu.be/p5sC1oPtOP0
Hali ya sintofahamu yatanda kwa saa kadhaa baada ya wafuasi wa vyama vya ACT na CCM kukutana uwanja mmoja na kuzua vurugu. https://youtu.be/URXwAPnMnfw
Wizara ya afya na ustawi wa jamii yathibisha ugonjwa wa kipindupindu kuendea kwenye mikoa 9 hapa nchini.https://youtu.be/SenhbffWsb8
Raisi Jakaya Kikwete amaliza ziara yake nchini Kenya na kuhutubia bunge na baraza la seneti nchini humo.https://youtu.be/N75qPsGpZbU
Baadhi ya maeneo ya mkoa wa Arusha na Kilimanjaro yaendelea kuzizima kufuatia uwepo wa wagombea uraisi wa vyama vya CCM,CHADEMA na ACT. https://youtu.be/liwB2Pdhnj8
CH 10: Mwili wa aliyekua mwenyekiti wa chama cha Democratic Party Mchungaji Christopher Mtikila watarajiwa kuagwa kesho katika viwanja vya Karimjee. https://youtu.be/lKIONfwlJpo
Ch 10: Uongozi wa mahakama nchini wahimiza majaji wa mahakama kuu kuhakikisha kesi za uchaguzi zinatolewa hukumu kati ya miezi 6 hadi 8. https://youtu.be/J_R0Izrt_jY
CH 10: Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA Edward Lowassa aahidi kuzibiti tatizo la mgao wa umeme endapo ataingia madarakani. https://youtu.be/cKqgn1N6HHY
ch 10: Mgombea uraisi wa CCM Dr.Magufuli aahidi kufuata nyayo za hayati Moringe Sokoine kwa kufanya kazi kama yeye kwani aliuchukia Ufisadi. https://youtu.be/gIUBX8y6E80
CH 10: Nchi za Afika Mashariki zahitajika kuwekeza zaidi katika nishati endelevu ili iwe chachu ya maendeleo ya uchumi na ustawi wa jamii. https://youtu.be/uYomraBGkUI
CH 10: Serikali na benki ya CRDB yawekeana makubaliano yakutoa mikopo ya nyumba kwa watumishi ya umma wa nchini Tanzania. https://youtu.be/-DhwQcdoon0
Ch 10: Kuelekea pambano la kesho la soka Tanzania dhidi ya Malawi makocha wa timu hizo mbili waanza kutambiana ushindi wa timu zao. https://youtu.be/pj5GfiNkBrY
Ch 10: Kocha Jurgen Kloop aonekana ndiye kocha sahihi kwa Liverpool baada ya kocha Brendan Rodgers kufukuzwa kazi klabuni hapo. https://youtu.be/VB15YhaHCto
TBC: Mgombea wa urais Zanaibar kwa tiketi ya CCM awaomba wananchi wa mkoa wa Kaskazini A visiwani Zanzibar kuipa ridhaa CCM tena ili iwaletee maendeleo. https://youtu.be/s7uz7q3uDWo
Tbc: Mgombea mwenza wa CCM Samia Suluhu Hassan aanza mikutano yake ya kampeni mkoani Kigoma kwa ahadi ya kuboresha huduma za kijamii. https://youtu.be/XAa9owFaqr4
TBC: Makamu wa rais Dk. Bilal aweka jiwe la msingi la mradi mkubwa wa uzalishaji wa umeme wa upepo kusini mwa jangwa la sahara ujenzi kuanza hivi karibuni mkoani Singida. https://youtu.be/0rF7O7rnIDM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...