Wanahabari na wahariri wahimizwa kuepuka habari za uchochezi zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani nchi.
Waratibu wa elimu wakabidhiwa pikipiki 82 Mkoani Lindi kwajili ya kuimarisha usimamizi wa elimu katika maeneo ya kazi ya mkoa huo, https://youtu.be/nxcOoQrqBUY
Wafanyabiashara wa mboga soko la Sanya juu wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya milipuko kutokana na dampo sokoni hapo;https://youtu.be/ L1lfMcPXB0E
Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi kwa wanachama wa NLD kufuatia kifo cha mwenyekiti Dr.Emmanuel Makaidi kilichotokea jana https://youtu.be/1lP8aB7D1Mg
Serikali imeombwa kukaa meza shirikisho la shule na vyuo TAMUSOKO ili kuiendeleza sekta ya elimu Nchini:https://youtu.be/l7iDxu2dTa0
Wazee waiomba serikali kuwapatia huduma za chakula na malazi kutokana na kutojitosheleza kwa huduma hizo katika vituo vya wazee https://youtu.be/zC6LOVPJzGE
Wadau wa madini wakutana kujadili usitishwaji wa matumizi ya kemikali ya Zebaki hususan kwa wachimbaji wadogohttps://youtu.be/PXZTD-cuFrU
Wadau wa elimu watakiwa kuboresha mazingira ya utoaji elimu ili kuboresha kiwango cha elimu nchinihttps://youtu.be/dsnhhAWaBBM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...