Maalim Seif awaomba wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya oktoba 25 ili aweze kuwa rais wa Zanzibarhttps://youtu.be/ R8WS3XvK1dM
Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Mwinyi awaomba vijana mjini Zanzibar kutokubali kutumika na wanasiasa kuharibu amani; https://youtu.be/BxVbGJH8ezk
Dkt Magufuri azidi kung’ara mjini Mwanza kwa watu wengi kujitokeza na huku akiahidi kuboresha bei ya pamba: https://youtu.be/mQ3jniGJGPc
Wanaharakati mjini Arusha waiomba tume ya taifa ya uchaaguzi kufanya uchaguzi kwa uwazi na ukweli ili uwe huru na wa haki: https://youtu.be/SlpOpS5Rmxw
Mgombea urais Zanzibar Maalim Seif ameahidi kuboresha mazingira ya wafanyabiashara wakubwa na wadogo iwapo atachaguliwa kuwa rais; https://youtu.be/f3duvz37pF8
NEC yaeleza sheria za uchaguzi na wajibu wa mpiga kura tayoa tathmini ya muelekeo wa kampeni na kutoa angalizo kwa wagombea; https://youtu.be/6kyRP10yDCk
Katika kuelekea uchaguzi mkuu je ni haki gani za binadamu zinapaswa kuzingatia katika uchaguzi mkuu? Fuatilia hapa; https://youtu.be/ZGgTuZt1I-o
Je sheria inasema nini juu ya kukaa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura siku ya uchaguzi mkuu Octoba 25,2015. https://youtu.be/gcb2OQCu9es
Leo hii katika mjadala. Wataalam wanazungumzia mada ya Kura ya Mtanzania na Tanzania. Endelea kufuatilia hapa; https://youtu.be/zeSaLxZobR8
Kutana na mgombea ubunge katika jimbo la Ilala kupitia TLP Bw.Salim Bendera katika mjadala; https://youtu.be/w-UBADbLUSM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...