Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva kuhusu alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya Uchaguzi Mkuu, ikiwemo kusisitiza mwisho wa kampeni za uchaguzi huo kuwa ni leo saa 12: 00 jioni.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dares Salaam kuhusu masuala mbalimbali ya Uchaguzi Mkuu, ikiwemo kusisitiza mwisho wa kampeni za uchaguzi huo kuwa ni leo saa 12: 00 jioni.
Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Emmanuel Kavishe.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...