Mwenyekiti wa Rotary Dar Marathon na mtoa maada, Sharmilla Bhatt  katika mkutano unaofanyika kila Alhamisi ya kila mwezi  (THURDAY TALK) unaoandaliwa na kampuni ya Solution Blocks jijini Dar es Salaam jana.

JAMII ya watanzania wanatakiwa kutokutegemea misaada kutoka nje ya nchi  isipo kuwa tunatakiwa kujitolea  ili kusaidia jamii isiyojiweza  kwa jia ya harambee.

Hayo yamesemwa na  Mwenyekiti wa Rotary Dar Marathon na mtoa maada, Sharmilla Bhatt katika mkutano unaofanyika kila Alhamisi ya kila mwezi (THURDAY TALK) unaoandaliwa na kampuni ya Solution Blocks jijini Dar es Salaam jana.

alisema kuwa jamii  na makampuni binafsi yatambue kua katika jamii huu hii tunayoiishi kuwa kuna watu ambao hawajiwezi katika mahitaji yao ya kila siku na hivyo makampuni yanaweza kuandaa harambee kutok vyanzo vya ndani kwaajili ya kuisaidia jamii inayo hitaji bila kutegemea misaada kutoka nje ya nchi.

aidha alisema kuwa Oktoba 14 ambapo ni siku ya kumbukumbumbu ya Mwalimu Julius Kamabarae  Nyerere  kutakua na matembezi ambayo yatakua na uchangiaji wa jamii.
Baadhi ya wadau waliohudhulia mkutano (THURDAY TALK) uliondaliwa na kampuni ya Solution Blocks wakimsikiliza mtoa maada katika hoteli ya Colesium jijini Dar es Salaam jana. Baadhi ya wadau wakiwa katika mkutano (THURDAY TALK) uliofanyika jijini Dar es Salaam jana.
 Mshiriki wa mkutano (THURDAY TALK) uliofanyika jijini Dar es Salaam jana akiuliza swali kwa mtoa maada. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...