FAMILIA ya
Josef Antoni Mloka inatangaza kupotelewa na kijana wao Edimund Josef (Pichani) mwenye umri wa miaka 23 mara ya mwisho aliondoka nyumbani Julai 3 mwaka huu akiwa amevaa fulana ya
rangi ya kijani na modo ya jinsi ya rangi ya bluu tangu siku hiyo tunamtafuta
bila mafanikio.
Amesoma shule ya Msingi Ukombozi-Mazese alimaliza shule hiyo 2007.
Kwa yeyote
atakaye muona sehemu yoyote ile (Hata
kama kwa mtu kwa jirani, jalalani, au akiokota takataka au akiombaomba) tunaomba
atoe taarifa kituo cha Polisi cha Urafiki, pia kituo cha Polisi cha Stakishari
Ukonga,au kituo chochote cha Polisi kilichopo karibu nawe.
Au unaweza
kuwasiliana na Baba mzazi wa kijana huyo Josef Antoni kwa simu namba 0654790019
Au kaka yake Felix Josef kwa namba 0657536219.
TUNAOMBA
USHIRIKIANO WAKO.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...