Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa waliohudhuria hafla hiyo |
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Hassan Simba Yahya akitoa muhtsari wa shughuli chache ambazo Waziri Membe alizisimamia kwa umahiri mkubwa katika kipindi chake cha miaka 9 ya Uwazi wa Mambo ya Nje. Waliokaa ni Mhe. Membe na Balozi Mulamula ambao wanasikiliza kwa maikini shughuli zilizotekelezwa na Mhe. Waziri Membe. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA. |
Ni kumpongeza mheshimiwa waziri kwa utumishi wake serikalini, kama waziri wetu wa mambo ya nje amefanya kazi kubwa ya kuishirikisha nchi yetu vizuri naa nchi nyingine ikiwemo mchango wetu katika mashirika ya kimataifa. Tunakutakia mema wewe na jamii yako.
ReplyDelete