Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Moita
ambapo alimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Monduli Ndugu Namelok
Sokoine pamoja na Diwani wa kata hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa
kata ya Moita ambapo alimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Monduli Ndugu
Namelok Sokoine pamoja na Diwani wa kata hiyo.Katibu Mkuu ameendelea pia
kumuombea kura mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli na
kumueleza ni kiongozi mchapakazi na penda maendeleo.
Mgombea Ubunge jimbo la Monduli kupitia CCM Ndugu Namelok Sokoine akinadi sera za Chama Cha Mapinduzi mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Moita.
Mgombea Ubunge jimbo la Monduli kupitia CCM Ndugu Namelok Moringe Sokoine akihutubia wakazi wa kata ya Mto wa Mbu waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni,kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye ameendelea kufanya mikutano ya kampeni kwa nafasi ya urai, wabunge na madiwani wa CCM.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kata ya Monduli Juu
akiongozana na mgombea ubunge wa jimbo la Monduli Ndugu Namelok Moringe
Sokoine .
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...