Mratibu wa mpambano wa masumbwi Antony Rutta Katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Yonas Segu kushoto na Idi Pialali kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili hii katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Picha na SUPERD BOXING NEWS |
Bondia Yonas Segu kushoto akitunishiana misuli na Idi Pialali mara baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kesho jumapili utakaofanyika katika ukumbi wa Frends corner Manzese Dar es salaam Picha na SUPERD BOXING NEWS |
Bondia Ismail Ndende kushoto akitambiana na Mwinyi Mzengela baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho jumapili Picha na SUPERD BOXING NEWS |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...